Recent content by Maishaborakwakilamtz

  1. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini hapa wajuvi wa haya mambo naombeni Ushauri..

    Dah sijui namsaidiaje huyu mwanamke nimeonge nimechoka imebaki option moja tuu kuachana nae maana nikimpiga nitamuua
  2. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini hapa wajuvi wa haya mambo naombeni Ushauri..

    Kwanza wazima Humu Wana MMU,...Mimi ni kijana 24 Years, kuna mwanamke nilianza nae mahusiano Kitambo tuu now tuna Miaka miwili na miezi 6, Miaka miwili ya mwanzo Tulikuwa tunaheshimiana sana na nafasi yangu kama mwanaume nimeisimamia vema .... Mwanamke alikuwa na heshima hatari hadi nkawa...
  3. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Mtandao kutofanya kazi dakika chache kwenye msafara wa Rais Magufuli

    Nshapata dawa Yao watanikoma ...😂😂😂 Huo mkono kwa avatar Upo vizuri
  4. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Mtandao kutofanya kazi dakika chache kwenye msafara wa Rais Magufuli

    Njia kuu mambo mengi mama watoto ana toto 3 kupata huduma kwa wakati inakuwa ngumu kidogo so huwa ninaazima moto kwa Side chick mara moja moja
  5. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Mtandao kutofanya kazi dakika chache kwenye msafara wa Rais Magufuli

    Tupo pamoja Na mimi nimepata kisingizio maana kuna Side chick mmoja hivi kila mda anapiga simu nkimwambia nipo kwa Ma watoto haelewi sasa sasa Kisingizio kimepatikana
  6. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Namsikiliza Nathan Feuresteim hapa
  7. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    Ban Ndo nini inahusika na nini nielezee vizuri huenda ninayo...
  8. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    Ahsante Kaka/dada
  9. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    Mnamzungumzia Santino Rice Me hata sifanani nae Yeye American Me Mtz acheni kunipaisha ase
  10. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    😣😣😣😣 mimi ninaitwa maisha bora kwa kila mtanzania
  11. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

  12. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    😂😂😂 im not Santino Buddy...Im Maishaborakwakilamtz....
  13. Maishaborakwakilamtz

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiiiii Jf

    Hodi humu ndani ,natumai nitajifunza mengi ,Nitawafunza mengi.......Sasa hivi Siyo kuhadithiwa yanayotukia humu ni mwendo wa mubashara . I love you All ...I expect warm welcome...If yours Is Cold Just hit it up......😀😀😀😉😉
Back
Top Bottom