Recent content by Maisha D. Jiamini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania haina dini

    Tunapoambiwa kuwa Serikali haina Dini ila Watu wake wana Dini. Hapo hapo tena tunaambiwa kuwa, Serikali ni watu na Watu ni mimi na wewe. Sasa kama Serikali ni watu then hapo hapo tunaambiwa kuwa Serikali haina Dini, basi tukubariane kuwa hata watu wake pia hawana Dini.!! Mana watu si ndio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    Ukimlilia mwizi jua nawe pia mwizi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

    Hana ugomvi naye kweli, Kwa kuwa wote Wana Juana. Mwizi hawezi mchukia mwizi mwenzie
Back
Top Bottom