Usalama upi unaoukusudia kama kweli hawo mnaowaita mabeberu wanashida na hayo unayoyazungumzia ya Internet wasiweze kuyafanikisha wakati shina liko kwao na wewe unatawi tu.?
Wakiamua hawanashida ya kumtumia mtu hata mmoja wakati kila kitu kikokwao watafanya tu. Au unaona hawawezi?
Marekani kuna uchaguzi na matokeo hayajatangazwa ya mshindi hebu tueleze umesikia kwamba kumetokea mauaji,kutekwa,kupigwa, kuuliwa na police kutumia nguvu kwa wananchi na watu kupokonywa fomu kama hapo penu,
Ikiwa huko yalifanyika na nyinyi mnafanya?
Hata hizo hoja zako haziendani na matukio unayoyazungumzia na hali ya sasa inayosemwa. Ikiwa ni hivyo mbona hamtumii hoja mnatumia wasiojulikana kutaka kumdhuru?
Serikal ya ccm imeamua kuuwa raia ya wake bila ya sababu kisa hamtakikushindwa kila aina ya unyama mmefanya ndio maana mkifikwa ni lolote baya wananchi hufurahia baya hilo kwa sababu hampo kwa ajili ya raia bali matumbo yenu.
Tatizo sio kuogopa. Ujinga nikumtishia uhai wake bila ya sababu kwahiyo mimi kukutishia kifo kwanjia ninayoijua mimi inamaana hutaogopa wakati ninanguvu zakukushinda kwa njia yoyote?
Huko watu wametekwa,wamepigwa,wamenyanganywa fomu,wametekwa,wameuliwa kwasababu tá uchaguzi,wametoa kauli za kutisha kwa baadhi ya viongozi, wametumia jeshi kudhibiti wananchi vyombo ndiyo viko huru nani awe mshindi WA halali na sio kupiga Kurq feki kabla tá uchaguzi sasa unaposema pompeo...
Rais ndiye anaelalamika. Huku jiwe asema nileteeen fulani na muleta nisieyemtaka sileti maendeleo huko wako huru hawaui hawapigi watu hawapigi kura za wizi na kuzipeleka vituoni hawatoi mawakala hawawateki na mengine machafu jee jiwe alishinda kwa uchaguzi upi wahaki naomba Mungu kwa ushenzi...
Kwanzaa umsenge.
Lá pili lá pemba halikuhusu.
Lá tatu hayo machungu mumeyasababisha nyinyi sasa pole ni ya nini?
Unafiiki wenu ubakie huko kwenu kwa watanganyika wenzako.
Dhulma mtailipa kwa njia yoyote lililobaki subir teuzi ufanye unyama zaidi kwasababu ndio asili yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.