Recent content by Mainz-07

  1. Mainz-07

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Hamna shukran nyie watu!! Hivi magufuli afanye kipi ndo mshukuru?? Mi najua hata rais akifanya mazuri 100% bado mtamkosoa tu. Sijui shida yenu nini hasa??
  2. Mainz-07

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hatofanya lolote ndani ya miaka 5

    Acheni unafki, inamaana kazi alizofanya magufuli huoni hata 1?? Acheni kupotosha maana kila mtu anaona jamaa anavopiga kazi
Back
Top Bottom