Recent content by Maimoso

  1. M

    Bima za boda boda

    Boda boda nyingi hasa maeneo ya vijijini na miji midogo hazina bima iliyo hai. Ukiuliza unaambiwa boda boda zimesamehewa kukatiwa bima. Niwaulize hahusika (Polisi usalama barabarani/SUMATRA) nilivyojibiwa na hao waendesha boda boda ni sahihi? na kama ndivyo abiria/mtu aliyeathirika kwa ajali ya...
  2. M

    Mikopo kwa ujenzi wa nyumba

    Taasisi nyingi za fedha zikiwepe benki hazitoi "grace period" hasa kwa wakopaji wadogo kwa shughuli za ujenzi wa nyumba za biashara mfano kupangisha kwa ajili ya malazi. Kiwanja ninacho (unsurveyed) nimeshindwa kukamilisha ujenzi ili niweke wapangaji. Nitapata wapi msaada ? Benki zingetusaidia...
  3. M

    VIFURUSHI VYA VODACOM

    Ukinunua kifurushi cha Vodaco mathslani Haliishi bundle 5000 unaambiwa kuwa una dakika 125 Voda-Voda na dakika 10 mitandao yote. Lakini cha ajabu utapiga simu za voda na dakika zitakazotumika ni zile za mitandao mingine tu mpaka wahakikishe zimekwisha halafu ndiyo zile 125 za voda zianze...
  4. M

    Arusha: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini waliokamatwa juzi wameachiwa kwa dhamana

    Hili jambo linahuzunisha na kusikitisha sana. Lakini wahenga walisa "hakuna matefu yasiyokuwa na ncha. Tuendelee kumwomba Mwenyezi Mungu tu ipo siku atajibu maombi yetu. Poleni sana wote mliokumbwa na kadhia hii
Back
Top Bottom