Recent content by Maige Chagu

  1. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Hizo ni ''fictions'' tu, hakuna mpasuko wowote CCM.
  2. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Vijana CCM tupunguze kudemka kwa ajili ya hivi vyeo,ukidemka sana ndio unaharibu kabisa.
  3. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata chuo Uganda

    Kama uko vizuri( Academically & Financially)nenda Makerere University hutajuta, believe me!!
  4. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama kaanza vizuri sana, usipomkubali kwa hizi hatua alizoanza nazo utakuwa na tatizo bila shaka.Alichonikosha zaidi ni namna alivyowaelekeza viongozi kutumia akili zaidi katika kuongoza wananchi badala ya ubabe,ni jambo jema.Kikubwa sisi kama wananchi tumsupport na tusisite kutoa maoni ya...
  5. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Woga

    Chadema ndio mazezeta mbowe tangu mwaka 2003 enzi za Mkapa ni mwenyekiti hana jipya kwa sasa anaganga njaa tu,aachie damu changa ameshaexpire.
  6. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Aachie uenyekiti hakuna analofanya.
  7. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

    Lissu atawakimbia chadema muda siyo mrefu,hakuna mtanzania asiye mwelewa Rais Magufuli kwa yale anayoyafanya kwa nchi yetu.Mungu anaipenda sana TZ chini ya Jemedari Magufuli,hakuna cha nzige wala Covid-19,Lissu rudi CCM tu chama cha Nyerere huko kwingine unapoteza muda tu ,ukitaka kuona balaa...
  8. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

    Ukweli mchungu ila lazima tuuseme tu, Esther Bulaya safari hii Bunda haambulii kitu.Kiufupi atagaragazwa vibaya mno na Maboto,mwaka 2015 Wassira alikuwa amechokwa vibaya mno Bunda ndio maana Bulaya alishinda Ila siyo kwa ushindi mkubwa sana.Safari hii Bulaya lazima akae kwa Maboto.
  9. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Daraja la mto Kilombero lakamilika kwa asilimia 100. Tuliahidi tunatekeleza!

    🙏 Kura zote kwa Magufuli 💯✅✅✅✅
  10. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumtie moyo Tundu Lissu

    lissu siyo wa kusikiliza yule ni bonge la mlaghai
  11. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA isisahau viunga vya miji

    lissu hana jipya
  12. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA isisahau viunga vya miji

    lissu siyo wakuzungumzia tena kwa kuwa atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi,angegombea udiwani tu kwa kuwa hata ubunge asingemuweza comrade Miraji Mtaturu
  13. Maige Chagu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matarajio ya Lissu yalikuwa ni kuona Kampeni zinajikita kwenye vijembe na vurugu

    Naona mwenzake membe ameusoma mchezo akaona JPM ni namba nyingine amejikatia tamaa ameamua kutulia tu,huyu lissu anajikongoja atagaragazwa vibaya mno
Back
Top Bottom