Recent content by mahwelu

  1. M

    GE2020 Mashine ya Kusini, Maftaha Nachuma akabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge jimbo la Mtwara Mjini

    Hayo ni matusi kwa wananchi na wapiga kura wa mtwara mjini. Jimbo lipo wazi kabisa.
  2. M

    Mnachokifanya MTUWASA ni kuhujumu kazi bora ya Serikali awamu ya tano

    === Achana na siasa zako wananchi hawapaswi kusumbuka kisa s1asa wana-agenda ya siri
  3. M

    Mnachokifanya MTUWASA ni kuhujumu kazi bora ya Serikali awamu ya tano

    Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na...
  4. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    ==== Kufundisha na kutoa maswali sio kitu kimoja. hata wazazi tulikuwa tunawapa maswali. Pili, shule ya jazar wanafunzi waliosoma online walilipishwa pesa ya kugharamia huduma huzika.
  5. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    ==== (1) Shule za binafsi hazijalipa mishahara kipindi cha Corona na hawatalipa walimu. Hiyo jazal imewapa walimu wake likizo bila malipo. (2) Hatakama watasomesha content yote lakini gharama ya chakula na huduma zingine mwanafunzi hawajibiki kulipia kwani hakutumia. (3) Wanafunzi wa darasa la...
  6. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Likizo ndefu huwa June na watoto wametumia June nyumbani. July shule huwa zinafunguliwa. So huna hoja kaa pembeni
  7. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Kwa mwanafunzi wa darasa la saba anamaliza shule mwezi wa kumi tarehe 9. Zimeongezeka siku ngapi?
  8. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Well inategemea na unavyojua wewe Ada ya shule inagharamia vitu gani: 1. mfano kwa muda uliofidiwa haimaanishi kwamba mwanafunzi atapanda Basi la shule twice ndani ya siku moja kwenda shule. 2. Kwenye kukokotoa Ada huwa yanaangaliwa Mambo kadhaa ikiwemo chakula, gharama za bills Kama maji...
  9. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Hii shule kuanzia mwezi wa tatu walimu hawakulipwa na hawatalipwa mshahara wa kufidia.
  10. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Ndugu Mzazi/Mlezi; *Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:- 1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-...
  11. M

    Wizara ya Ardhi imulikeni Mtwara Mjini

    Mtwara mjini haiongozwi na chadema. Lakini pili wizara ya ardhi haisimamiwi na mwanachadema ni suala la kitaifa na sio la kichama.
  12. M

    Wizara ya Ardhi imulikeni Mtwara Mjini

    Wanajamii forum nawasalim, Naiomba wizara ya Ardhi na Maendeleo Ya Makazi waumulike Manispaa ya Mtwara. Mimi ni mhanga katika ufisadi ambao unaendelea pale ofisi ya ardhi jirani ma BOT. Nilikuwa nahitaji kulipia kiwanja changu. Lakini kila nikipewa control number inasoma jina ambalo silo la...
  13. M

    Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    Unaweza ukamtetea ukute ni baba yako. Na huyu anayeomba ushauri ni dada yako:eek:
  14. M

    Nawaza kumtoa nduki mama mkwe nyumbani kwangu

    wangu siye mgogo na wala hakaribii
  15. M

    Nawaza kumtoa nduki mama mkwe nyumbani kwangu

    Kama unamaanisha jengo ambalo tunaishi ni nyumba ya kazini kwetu. nalipia pango mimi. Kama unamaanisha control ya home bado sijafikia kuburuzwa ndio maana panachimbika...
Back
Top Bottom