Recent content by mahwahwajr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya maisha ya Dr. John Pombe Magufuli

    Ndugu Wanabodi, Leo mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr John Pombe Joseph Magufuli anazindua kampeni zake. Hatua hii ni muhimu katika mchakato huu. Vyama vingine vitafuatia. Anapozindua kampeni zake, ni muhimu Watanzania tukaendelea kumfahamu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa na 'hofu ya kushindwa' na Magufuli

    Ndugu wanabodi, Hapana shaka uchaguzi wa mwaka huu tayari umevuta na utaendelea kuvuta hisia za wachunguzi wa maswala ya kisiasa na hata wananchi wa kawaida, pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote. Nina imani hali hii itaendelea mpaka Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Huo upande mwingine nao ni vilevile... Btw, mimi sioni tatizo yeyote kupewa uongozi kama anastahili. Suala ni je, akipewa uongozi anawatumikia watu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Kaka, i can feel your pain, lakini nchi yetu inwahitaji viongozi wa aina hii. Mimi wala siitetei CCM. Hili timbwili linaloendelea sasa hivi lazima limeinyoosha CCM kama kweli unadhani imewatenda vibaya wananchi wake. Nchi yetu inamhitaji sana Dr Magufuli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Ndugu wanabodi, Mjadala mkubwa hivi sasa nchini kwetu ni juu ya nani atakuwa kiongozi mkuu na kwa sasa mazungumzo yanawalenga zaidi watu wawili kwa maana ya Dr John Pombe Magufuli wa CCM na Mh Lowassa kwa upande wa UKAWA. Kwa bahati mbaya sana na kwa kusaidiwa na vyombo vya habari ambavyo kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Wanaonung'unika sasa ni wasaliti

    Sikiliza uelewe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Wanaonung'unika sasa ni wasaliti

    Umeiangalia hiyo video?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Wanaonung'unika sasa ni wasaliti

    Umeiangalia hiyo video??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Wanaonung'unika sasa ni wasaliti

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr Emmanuel Nchimbi amesema wale wote wanaolalamika hivi sasa kuhusu mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi, ni WASALITI. Dr Nchimbi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati kuu ya CCM amesema watu hao ni walafi wa madaraka na ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi na Sophia Simba kumuunga mkono dr. Magufuli ni dalili ya umoja wa CCM?

    https://www.youtube.com/watch?v=74EA4Ed_Y2g&feature=youtu.be
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi na Sophia Simba kumuunga mkono dr. Magufuli ni dalili ya umoja wa CCM?

    Ndugu Wanabodi, Sote tunakumbuka kilichotokea Dodoma baada ya Uamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya CCM kukata jina la Edward Lowassa. Mjumbe CC Dr Emmanuel Nchimbi pamoja na "wanene" wengine ndani ya CCM walieleza kutoridhishwa kwao na uamuzi huo. Hali hiyo ilifanya baadhi ya watu (nikiwemo mimi)...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli usikubali kupiga ngoma tena

    Pumba!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tutampigia Kura Magufuli na Kupata Ushindi Wa Kishindo Oktoba 25!!

    Acha waendelee na mihemko. Rais ni JP Magufuli!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

    Dr Lwaitama huitendei haki taaluma yako. Unatia aibu!! Shame on you!!!
Back
Top Bottom