Recent content by mahutu

  1. mahutu

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

    Tusio mtaka huyu shoga tuna comment wapi[emoji57] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mahutu

    JamiiForums Tanzania Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Hili nalo litapita ila ushoga mimi siwaungi hata kdgo ata kama magu ni mbaya ila ushoga sio
  3. mahutu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    afu wee utapata faida zipi...na kwan hao wageni wanakuja kwa njia kama hzo alizosema kigwangara
  4. mahutu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Hapa ndipo unajua uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu...tutegemee majibu mepesi na naimani majibu hatuambiwa.
  5. mahutu

    JamiiForums Tanzania Mtukufu Rais umepata kusikia maneno haya ya Jakaya Kikwete?

    Wakwamisha maendeleo ni sisi wenyewe adui yako wa kwanza ni wew mwenyew..uongoz sio rahis kama uandikavyo hapo
  6. mahutu

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

    Kingereza ni lugha tu na sio kua ukijua kingereza ndio utaonekana msomi au unauelewa mkubwa wa mambo...tatizo ni pale watanzania tunajihamba kutumia lugha ambayo mtu unatakiwa kuijua kwa juhudi zako...
  7. mahutu

    JamiiForums Tanzania UN: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama Tanzania na mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA na mwanafunzi wa Chuo Kikuu

    kurudi mfumo wa chama kimoja...maana vyama vingi havina tija bora kuchagua vipngozi wasio na vyama maana hao wote wanasiasa ni wasaka tonge
  8. mahutu

    JamiiForums Tanzania UN: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama Tanzania na mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA na mwanafunzi wa Chuo Kikuu

    kwan tunafanya kwa ajili ya kuwafurahisha wao....hata huko kwa hamna democracy hyo uisemayo.
  9. mahutu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

    hakunaga risasi kupinda ikilenga imelenga acha kueleza vitu vya kitoto hapa..
  10. mahutu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

    kwan ni lazima yule kapewa hiyo huduma coz hakua miongoni mwa waandamanaji....andamana ufe uone kama utapewa ata sh. mia ata familia ikikataa kukuzika utazikwa na manispaa...upinzani unatakiwa kuelewa kuna baba wa familia na vijana wa familia so huwezi kua chini ya baba afu unataka kumwambia...
  11. mahutu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

    hata kenya kuna tume huru ila sasa yanayotokea ni zaidi ya ambao hawana tume huru.
  12. mahutu

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika Walinzi wengi wa Marais duniani kuna mmoja huwa anavalia miwani myeusi?

    achana hiyo miwani ya 1500.
  13. mahutu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    2025 Ni zamu ya akina Cassim...Abdalah...Hassan...Juma....Nadhani hii inaeleweka jamani ko labda apikike hadi 2035. na 2025 itabidi awe sehemu ya Majaliwa ili kuzielewa Wizara zilivo na changamoto zake...ila huu ndio ukweli Tanzania inahtaji kiongozi wa kufanya sio wa kujaribu tena.[emoji817]
  14. mahutu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Uongozi ni kipawa toka kwa mungu...uongozi sio madarasa.
Back
Top Bottom