Recent content by mahunduhamza

  1. mahunduhamza

    Taliban kimenuka, vita yanukia upya

    Afghanistan: Viongozi wa Taliban wazozana Ikulu, vyanzo vimeeleza Saa 3 zilizopita CHANZO CHA PICHA,AFP Mzozo mkubwa ulizuka kati ya viongozi wa Taliban kuhusu muundo wa serikali mpya ya kundi hilo nchini Afghanistan, maafisa wakuu wa Taliban wameiambia BBC. Mabishano kati ya mwanzilishi...
  2. mahunduhamza

    Mfahamu mwandishi aliyemuhoji Osama Bin Laden mara 3 bila woga

    Hamid Mir: Simulizi ya mwandishi wa Pakistan aliyemhoji Osama bin Laden mara tatu 12 Septemba 2021 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Hamid Mir katika moj ay amahojiano na Osama bin Laden,mjini Kabul mwaka 2001. Wiki saba baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001, Hamid Mir...
  3. mahunduhamza

    Mfahamu Mungu wa Marasta

    Jambo hili lilianza mwaka 1920 baada ya kunukuliwa kwa kiongozi mashuhuri wa Jamaica Marcus Garvey, ambaye alikuwa nyuma ya harakati ya Kurudi Afrika: "Angalia Afrika, wakati mfalme mweusi atakapotawazwa taji, kwani siku ya ukombozi imekaribia." Muongo mmoja baadaye, Ras Tafari (au Chifu...
  4. mahunduhamza

    Ifahamu Nchi Yenye Miezi 13

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Taifa la Ethiopia limekaribisha mwaka mpya hivi karibuni, licha ya kuwepo kwa baadhi ya madhila ya vita na njaa hasa upande wa mashariki wa taifa hili. Fahamu zaidi kuhusu kalenda ya mwaka wa kipekee wa Ethiopia kama urithi wa nchi hiyo. 1) Mwaka ambao una miezi 13...
  5. mahunduhamza

    Vyakula ambavyo ukichanganya tuu vinageuka sumu

    Limeandikwa na BBC Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu 21 Agosti 2021 Imeboreshwa 10 Septemba 2021 Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
  6. mahunduhamza

    Kula kwa kujipongeza

    Aiseee mimi nampenda saana ronaldo CR7. Na nilijiapiza kama Ronaldo atarejeaa tena Man Utd nitakula vizuri saana hiyo siku. Nikaona sio kesi nakasubiri game yake ya kwanza England, kakipiga na Newcastle na kafanikiwa kutulia goli 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1 Wachaaaaa nijipongeze na ugali...
  7. mahunduhamza

    SIMBA NA YANGA DUUUUUUH

    Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili kutawazwa mabingwa kwa msimu wa nne mfululizo. Hata hivyo goli la dakika ya 13 lililofungwa na...
  8. mahunduhamza

    Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    wengine hawana uelewa saan na life ya mtaaani
  9. mahunduhamza

    Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    hahaha usijari tutawazingatia pia
  10. mahunduhamza

    Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  11. mahunduhamza

    Hadithi za zamani

    Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
Back
Top Bottom