Recent content by Mahotera

  1. Mahotera

    Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    Hawategemei kura, wanategemea namba za NIDA, hii ni kwa mujibu wa Slow²
  2. Mahotera

    Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Siasa si uadui. Yeyote anaweza kuwa mwanachama wa chama chochote muda wowote, hakuna haja ya kujisikia vibaya, ni kama kwenye familia Mtoto kumuona Baba yake anachangia chama tofauti na chama anachokikubali yeye.
  3. Mahotera

    Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

    Haibadilishi ukweli kuwa kwao ni Mkuranga, wala sio Zanzibar.
  4. Mahotera

    Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

    Kulalamika ni sehemu ya utamaduni wa wabongo wengi. Mbona Hussein Mwinyi na Baba yake ni wa Mkuranga na wamekuwa hadi maraisi Zanzibar?
  5. Mahotera

    Kama vyama vya upinzani visipoweka balance ya kidini kwenye vyama vyao visahau kuja kuitoa CCM

    Umeshapanic tayari!! Siasa Afrika ni mchezo tu hakuna reality, relax. Ukiwa serious na siasa Bongo presha na kisukari kinakuhusu.
  6. Mahotera

    Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

    Hongera sana, hata wizara ya afya ulijitahidi. Na huku pia unastahiki pongezi za dhati, nasi tunakupongeza kwa utendaji wako, pokea pongezi za dhati kutoka katikati ya nyoyo zetu.
  7. Mahotera

    Polisi wavunja Ibada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, wawataka Waumini kutawanyika

    Walikua wanatarajia Gwaji Boy ajitokeze watokomee nae. Ila hajazuka kutoka mashimoni bado.
  8. Mahotera

    Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Kwani si tulikubaliana wazanzibari hawana akili? Hawana vichogo! wanaishia kusoma madrasa tu? Na ni walegevu kwa kula urojo!!! Imekuaje tena au kuna vikao sisi huku Kajunjumele hatukushirikishwa!
  9. Mahotera

    PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

    Simply ni disrespect to God. Kumdhalilisha binaadamu kwa kumfananisha na mnyama kwa sababu ya sura yake ni act of disrespect kwa aliemuumba kuwa binadamu wala sio mnyama wa porini.
  10. Mahotera

    PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Sera ya Ubwabwa ni sera kubwa sana kwa nchi hii. Hii sera ilikaribia kuteka fikra za watanzania serikali ikapiga marufuku uwepo wa ubwabwa kwenye kampeni wakidai ni Rushwa, wakati ambapo viongozi tofauti wa CCM wameshawahi kuonekana wakishiriki kupika ubwabwa kwenye kampeni zao.
  11. Mahotera

    Hivi kwa nini wapemba ni wachafu sana?

    Anapika mboga bila mafuta.
Back
Top Bottom