Recent content by MAHORO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yafanikiwa kupata bandari kavu Kenya

    Pamoja mkuu, nitafute
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

    Ukabira na uongozi huwezi vitenganisha , mfano Kuna kabira la watutsi , kwa afrika nadhn wao wamebarikiwa sana kwa swala la uongozi na wamezaliwa kuwa viongozi Ukabira na uongozi huwezi tenganisha coz Kuna makabira yameumbwa kwa ajili ya kuwa viongozi , Kwamfano, watutsi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

    Hyu jamaa yangu ana gundu, kila mradi unabuma tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Chato yanaathiri vipi utendaji kazi wa Mkuu?

    Hili jamaa silipendi hata kidogo , nalo Ni li great thinker eti ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

    Ushahidi please
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

    Ficheni data tuone munamkomoa Nani , axheni siasa kwnye uhai wa watu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Ila tuache ushabiki , Mimi Ni ccm kijani lakin Hili la rais kuhamishia shuguki za serikali nyumbani kwake sikubaliani nalo , na CDM kuamua kujiweka karantini kwa ajli ya afya zao wako sahihi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amedanganywa kuhusu kupima papai, fenesi, mbuzi nk

    Lakin tukumbuke raisi Ni taasisi tusimuatack mtu mmoja tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji katika hotuba ya Rais Magufuli tokea Chato

    Uongo Kama anadanganya watoto ?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

    Moods bado wameachia huu Uzi ambao haueleweki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anaweza kuwa Rais wetu wakati ni unfit?

    Anafaa sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

    Kesho yake maagizo yalianzo kutekelezwa na mwalimu kasema wagonjwa wamepona
Back
Top Bottom