Recent content by Mahonga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makonda awataka wakazi wa Dar kufuta picha za ngono kwenye simu zao kabla ya Jumatatu

    Amber Ruth ni kitu Gani Msingida?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makonda awataka wakazi wa Dar kufuta picha za ngono kwenye simu zao kabla ya Jumatatu

    Kazi unayo kijana Paul hadi simu zetu unatukazia matumizi,acha TCRA na watumishi wa Mungu Watekeleze hili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Mohammed Dewji: Ni uharamia wa kimataifa?

    Msemajj wa Police hadi sasa Kimya au kasema lolote jamani. Ngastuka na huu utapeli wa kitoto ambapo inaleta hisia Kali kukabiliana na huu ubabe wa kuvunja amani tuliyonayo kwani kila kiumbe kina mwisho wake wa kuvumilia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Mohammed Dewji: Ni uharamia wa kimataifa?

    Tz ya viwanda au kutafuta kunyanyasana bila hatia, Huyu Kijana ana Viwanda piia nadhani anafikiri zaidi ya hayo kwa Mustakabali wake na Nchi yetu, Haya yanayoendelea ni picha za Kihindi ambapo binafsi nazichukia sana kwani uongo mwingi kuliko halisia.Pussycat kwa yoyote aliyehusika. Unaona...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

    Umesema vzr
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amuagiza RPC Kagera kuwachukulia hatua kali askari wote wanaotuhumiwa kusindikiza kahawa za magendo

    Uko sawa kwa kiasi Fulani,baadhi yao wanaona ni kipato chao cha zaidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

    venchwa hayo uliyefanya 99% Mkeo pia atang'atwa mapema sana na mbaya zaidi utafahamu kuwa kuna Kijana anapewa burudani,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ninyi vijana hatariiiii , nimefurahi ghafla usiku huu, eti panya wa Lumumba. Ulifikiria nini kijana?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Aidha cdm hawana ulazima wa kuomba msamaha kwa kuwa hakuna kosa waliofanya kwa uelewa wangu, Serikali ndio wa natakiwa kuomba msamaha kwa sababu TL alishasema kuna watu wanamfutilia lakini hakupewa Ulinzi stahiki
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Spika, alisema ikishindikana Muhimbili ni India siyo kokoteee kama ulivyosema
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotembea na waume za watu

    Umena vizuri, hizi huwa tamaa na nyege za madume kuwashawishi wadada Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

    Yanaelekea kushindwa kazana kwa maombi, pole sana Sent from my TECNO-Y5S using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Masuala ya kisheria ni magumu Sanaa hasa kwa mtu ambae hajawahi hata kafika mahakamani na kutoa utetezi wa jambo liliko mbele yake.
Back
Top Bottom