Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
Kwa ukweli mke wangu kaaamua kuniacha na kuondoka kwenda kwao .
Ni mkasa mrefu sana ila tatizo sio kuenda kwao tatizo ameindika na watoto wangu 2 mmoja miaka 7 na mwengine 3 nimemuambia anipe niwalee hataki anasema kwangu watasumbuka nimemuomba aje tuwalee hataki anasema hayuko tayari kuishi...
kwanza ndio mke huyu huyu mwenye mkasa huuu nilienda kwao katika ugonvi huu nikajishusha basi akarudi tukaishi na akaondoka tena mapema mwezi wa saba kwa kosa hilo la kimtandao
Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema...
Habari wakuu.
Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.
Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na...
Habari waungwana ?
Leo nimepata swali kutoka kwa Rafiki yangu kua mke wake simu haikai chini anakuambia kuwa ni marafiki tu hana mpango naye ila anaongea nao sana akiwa mume wake hayupo.
Tena anaongea na hao wanaume zaidi ya kawaida maana ameshaona ameongea na huyo mwanaume dakika 56. Je, huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.