Broe sio kebehi mimi mwenyewe ni muuza nguo tena nauza lonya Ninauza Dg Dar 10000 mimi nauza 11000 bei ya jumla nauza suruali 13000 Dar Nanunua 12000 Nineuliza kuhusu bei za soft jeans ili nipime bei zake kadeti tunachukua 12800 dar bei ya jumla Tunduma tunauza 13500 hadi 14000 ko nataka nijue...
Maboss wapo kaka Ukifika Kariakoo Ulizia Nondo kuna Zebedayo kuna Maiko Kuna Kimboli hao ni Maboss wakubwa ila Kukukopesha bila kuanza nao biashara mdogo mdogo ni kazi kidogo kwa Mfano huyo Nondo Kuna Braza Moja Hapa Tunduma Ni Mwanangu Juzi Kati Kakopa Mzigo Wa 20 million
Kuna suruali ipo lonya hapo kaka mstari wa nne kutoka juu upande wa kulia ni lonya unauza pei gani pia softjeans unauza jumla bei gani ili nipine range ya bei zako mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.