Recent content by mahimbo mahimbo

  1. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Soma hiyo reply neno kwa neno..hakuna shaka..yake kabisa hiyo
  2. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Hahahaaa...hapana...hili lazima litakuwa povu
  3. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Mnaojua vyema ' Saikolojia ' tusaidiane katika hili tafadhali

    Piga simu Sumatra au polisi makao makuu..kama namba zao hauna R.I.P in advance
  4. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Boss Kusaga wa CMG mbona unadangaya watanzania hadharani?

    Watu waliongea hivi tangu clouds ipo pale kitega uchumi bro.. Yaani in next two years makampuni yote ya kibiashara yaliyo patner na clouds yaachane na clouds yaende kampuni gani? At the same time clouds bado wakiwa na audience ile ile ambayo ndo mtaji wao mkubwa wa kuvutia hao sponsors. Clouds...
  5. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Boss Kusaga wa CMG mbona unadangaya watanzania hadharani?

    Nimesoma thread kwa hamu zote nikijua nitajuzwa ni vipi hizo radio tajwa zilifanya mastaa wa music tunaowajua wawe stars...naona chenga tu
  6. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Rais Magufuli anatumia misingi mibovu iliyoachwa na Rais Mkapa

    Katiba mpya ni Ultimate Solution. Ili ipatikane ni lazima tujitoe sadaka
  7. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Je presha huambukiza?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Makala kutoka CANADA yasema wanasiasa wa upinzani ni wasaliti kwa kubeza jitihada za maendeleo TZ.

    Tunasubiri na hii iwe trend dunia nzima
  9. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Hongera mheshimiwa Ridhiwani kwa kumpenda mwanao

    Mwanaume kumbaka mwanae wa kike ni kumpenda sana ama ni nini hiyo?
  10. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania Ni Tundu Lissu aliyeonya toka awali kuwa ubinywaji wa haki za kiraia nchini hautaishia kwa wapinzani peke yao

    Mbowe kafutiwa dhamana kwa sababu "kuna mtu alitumwa akampige risasi ,akamiss target akampiga Akwelina.Kesi ikamgeukia Mbowe kuwa yeye ndo kasababisha mauaji ya Akwelina"
  11. mahimbo mahimbo

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU: Kuporwa kwa mafao ya Wafanyakazi ni dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

    Hivi mkuu kwa akili yako huoni kuna umuhimu mkubwa wa kujadili kilichopo hapo juu kwa maslahi yako wewe na ndugu zako?
Back
Top Bottom