Recent content by Mahesabu

  1. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

    MAHAKAMA ni sehemu HAKI inapopatikana....! tuwe watulivu wakati kila muhusika anapopata haki yake !!!
  2. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

    Sheria ya Kupambana na Ugaidi inasema nini pale unapohamasisha watu wakachome majengo ya umma na kuharibu makazi ya polisi????
  3. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

    Kuna kufundisha somo tutofautishe na kuhamasisha watu wachome majengo ya serikali pamoja na makazi ya polisi, hakuna somo kama hilo....! MHADHIRI hajakamatwa kwa kufundisha somo, bali wale walio naye kwenye magroup ya whatsapp wanajua zaidi alivyokuwa anachochea....!
  4. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania The Tanzania Files: Mnemba, Transit Routes, and the Epstein Shadow

    Makumbele you did a nice job, don't ever get discouraged when someone throw stones at you....! More tips should be shared to the authorities just to make a world a better place!!! Once again HONGERA KWA MCHANGO MADHUBUTI....! Ungekuwa na LIPA namba ningetuma humo 5,000 TZS ukanywe soda baridiiiiii
  5. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    KISWAHILI hapa kwetu imeandikwa sehemu mbalimbali, kwenye hotuba za viongozi na matamko rasmi.....! Waziri Mkuchika amewahi kutoa mwongozo , Kwenye mitaala ni lugha ya kufundishia......
  6. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    KATIBA HAIWEZI KUANDIKA KILA KITU..... na sheria hapo haija kinzana na sheria
  7. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    Kwa profesa wa sheria, Anaweza akawa alisoma siku nyingi sana kuhusu vyanzo vya sheria (Sources of Law). Ama kwa mapana yake Sources of Constitution (constitutional Law) Katika kuelezea hili, Sheria ina vyanzo vingi...... MIKATABA , MAAMUZI YA MAHAKAMA, MIKATABA na kadhalika...! Sheria zetu...
  8. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://x.com/TheOtherSideRu/status/2005395386853360047?s=20
  9. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://x.com/SMO_VZ/status/2003425274566738113?s=20
  10. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://x.com/SprinterPress/status/2002670890832863562?s=20
  11. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://x.com/SprinterPress/status/2002670890832863562?s=20
  12. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://x.com/MyLordBebo/status/2002440540131090438?s=20
Back
Top Bottom