Recent content by Maher-shalal-hash-baz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Kila kitu nongwa juzi walisema wanaume wanao penda sex wanakufa Mapema Sasa am ovwesi nachanganyikiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    Wamewajibu Tena kwa Walaka ila hawataja Tarehe wamesema tu wiki ijayo Sasa sijui ndio inayo anzia Kesho au inayo anzia jtatu ijayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    Ha haaa zitamachua tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    TP. Raia Mtanzania na wewe ni mmojawapo wa Mlio Pigwa hapa au we ni Mwana Habari reporter Mwema?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    Duuuh just reading
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jahazi la Elimu Tanzania

    Bado nasoma nikimaliza nita reply
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hata niki comments Moderator hua hazipitishi, nasoma kimya kimya tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Huyu aende zake atuondolee huo ujinga. Labda aje ashauri mwingine tutamuelewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya plastiki mwisho Aprili 8

    Busy na Mifuko ya plastic ambayo kimsingi mi sijaona inachafuaje Mazingira, Miti inakatwa kila siku na haipandwi mipya, watu wanasafisha misitu hekali na ma hekali kwa ajili ya kilomo hakuna hata tozo za uharibifu wa mazingira, watu wanakojoa wakiwa wanaogelea baharini hata halisemewi tupo busy...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    Nimesoma Comments mwisho nikaona sehemu ya Ku "reply" nika reply hv
  11. M

    JamiiForums Tanzania Prof Mchembe: Wanaoruhusiwa kutoa taarifa za Afya ni Waganga wa Mikoa na Wilaya siyo Wanasiasa

    Kwa hio yule wa Chunya atapangiwa kazi nyingine?
Back
Top Bottom