Recent content by Mahengela

  1. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    edward lowassa
  2. M

    Uchaguzi Chalinze

    Barabara ndefu haikosi kona. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Utawala wa Kibabeli ulikoma, wa Rumi ulikoma, ukoloni ulikoma - je, huu hautakoma? Worry not. What matters is to stand on a right way. Time will come and indeed this is the right time. Ukiona mtu anatumia pesa kama silaha ya...
  3. M

    Mazungumzo Sirini: Kura ya wazi - Bunge la Katiba

    Hapo ndo ujue kwa nini haki hutolewa upande huu na upande wa pili haki hiyo hiyo iliyotolewa ikadhulumiwa. CCM wanataka kura za wazi ili kuonyesha demokrasia komavu, lakini kwenye mjadala huo ambao una maslahi kwao demokrasia ni kuwa siri - asijue mtu, na kwa kwao hiyo ni demokrasia. Nchi hii...
  4. M

    Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

    Mkimpata mpinzani akahamia huko huwa mnasema tone dogo? Kumbuka "bandubandu humaliza............
  5. M

    Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

    Kipi chama tapeli hapa TZ? Sio hicho ambacho kimekufanya uwaone wabena ni taahira ikiwa ni pamoja na Mangula ambaye ni mbena? Maana yake wewe ndiye taahira maana ungekuwa sio hivyo usingemtukana Makamu Mwenyekiti wa chama chako. Kweli mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Endelea kula kwa...
  6. M

    Kada mwingine ajiondoa CCM Njombe Mjini

    Hata Mangula ni Mbena, kwa hiyo?
  7. M

    Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Katupaisha nini wakati dani la taifa linafika tilioni 27?
  8. M

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Mtayaona mengi. Mtu anapokufa hasa kama hakuwa mcha Mungu, huwewewseka sana. Nahisi hiki ni kifo cha kijani. Tusubiri.
  9. M

    KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    Jamii gani ambayo inamwona Kibamba ni kituko? Ni vema kuwa na akili huru, maana hata katika kauli kama hii inayotolewa na kiongozi mkuu wa nchi na ambaye ndiye mwenye mamlaka ya ulinzi na usalama wa nchi lakini anatoa kauli kama hii unadhani implication ya kauli kama hiyo itakuwa ni nini...
  10. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa
  11. M

    Tanzania yakanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwai na gazeti la Serikali ya Rwanda

    Nadhani ni vizuri mambo mengine kunyamaza tu wa TZ. Si kila kitu lazima mseme saaana, iweni wa TZ kweli kweli maana vitu vingine ni vya ndani sana kama yalivyo ya ndani mambo ya wazazi wako chumbani. Jambo kubwa ni kwamba Rwanda ni nchi notorious sana na TZ ndiyo nchi inayo - stabilize hali ya...
  12. M

    JK na CCM wanahitaji Jifunza toka Mbowe na CHADEMA kwa issue-Hakuna kauli za binafsi CHADEMA

    Hiyo ma-ccm na mi-ccm siyo kauli ni lugha. Umesoma wapi? Chuo Kikuu cha Dodoma?
  13. M

    Mhe. Membe endelea na moyo huo huo wa kuwapenda watu wanapo kuwa hai na wafu

    Hizo salaam za rambirambi au za 2015? Mungu ajua moyo upi ni wa rambirambi na ule wa kula 2015
  14. M

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Kumbukeni Hossama alifunzwa na USA na akaja kuwa threat kwako. Usishangae ya PK. Wapo watu ambao wanawasaliti hata wazazi wao waliowazaa, sembuse PK? Afadhali kama akili imemrudia. Lakini ajue mtoto hakui kwa babaye wala mwanafunzi hamzidi mwalimu wake.
  15. M

    CCM yafunika na kuimaliza CHADEMA Kahama

    Hiyo ni kasi au kazi? Funika kombe mwanaharamu apite
Back
Top Bottom