binafs nmekuelew sana taikon mzee wa fasihi na kila niksoma andiko lako kuna dalasa huw nalpata sku moja utapata mlejesho wng [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya maswall unayojiulza bila kuw na majb,
Kwangu mm ni kama Leo umekuja kwenye fikla zang inawezekn vp yaan !? Ni vyema tupate haya majb kw wajuv wa haya mambo!
ww fuklia mchaw ana uwezo wa kusafil kw spid ya haraka kw ktumia hzo nyenzo zake,
Mfano ndege ktoka dar mpak mwnza ni dkk km skosei 45 lkn mchaw na usafil wke ni tendo la kufumba na kufumbua tu,
Hapo sayans ipi Iko mbele zaid
Huyu jamaa ameanzia tar 1 mwez wa 4 _2024 kwanza tar hyo Huw ni cku ya wajinga Dunia so msihadaike
Ni lijamaa tu limekaa zake sehem limekula limevimbiw likaamua kuwastua wabongo hapo linawachek mnavopata taabu
ww mwenyew umesema ni mkulima hujui mambo ya sheria so kinachokuwasha ni nn?
Huyu ni jaji mtaalam was Sheria anazungumzia sheria iilvokiukwa ni vema ungetulia km hujui kitu sio Kila jambo ......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.