Recent content by Maheke maheri

  1. M

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Lowasa safi hata makanisani waliomo walishafanya dhambi Leo wachungaji kuliko waliozaliwa ndani ya mahekaru nani msafi hapa tz
  2. M

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    Mbona TBC vichwa vya magazeti inasoma chini
  3. M

    DNA inaniambia mtoto wa kiarabu ni wangu wakati wazazi wote ni waswahili

    Pesa Mwarabu kapeleka pesa kwa mpimaji umezugwa tz ruswa
  4. M

    Hivi ni kwanini baadhi ya makanisa wahubiri kila siku ni walewale?

    Hao ni wezi tu namba za simu zinazopita ndani ya runinga utume MPESA ukituma ni jina la MTU binafisi wala sio la kanisa wezi wala sio wafanyabishara ni wezi PESA wazipatazo hujenga mashule yao magesti majumba ya watoto wao he yesu na yohana walifanya hayo hao ni wezi
  5. M

    Mwalimu ahamishwa shule baada ya kutuhumiwa kuruhusu Shule yake ya Udongo kupigwa picha

    Asaini wapi kitabu na yuko mwenyewe amwonyeshe kwa AFISA ELIMU hakumpa uratibu mratibu awe mwalimu Wa hiyo shule wivu Wa pikipiki aliopewa na RC na ampandishe huyo Jimbo la kawambwa
  6. M

    Mbunge wa Mbeya Vijijini Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla Bungeni leo

    U haguzi unakaribia je kuna mtu amembana jimboni
  7. M

    Wanaume Andikeni "Wosia" mapema

    Swala la urithi ni kweli arithi baba au mama je ni vyema baba arithi mali ya mkewe alefu atumie kwa wanawake wengine au mama alithi mali ya mmewe atumie kwa wanaume wengine watoto warithi mali ya MZAZI wao MZAZI atunzwe na watoto wake kosa hapo watoto hawatunzi MZAZI wao wapumbavu
  8. M

    Ajali Ifakara mjini: Basi na treni zagongana, watu wahofiwa kupoteza maisha

    Alikuwa treni ili basi uliyokuwa nyuma yake isiwahi wakati ikisubiri yéyé awe mbali na abiria basi ikipata ajali majeruhi wawe wanashitakiwa kwa uzembe Wa kutwomwonya dreva na kumchukulia hatua ikiwamo ya kugoma kuendelea na safari kama dreva mwingine hataletwa ikifanyika hivyo madreva wafuuta...
  9. M

    Ajali Ifakara mjini: Basi na treni zagongana, watu wahofiwa kupoteza maisha

    Watu walifariki ni 13 tu mimi nimefika eneo la tukio ni kiberege karibu na nimefika hospitalier est Francis
  10. M

    Foleni yenyewe watu wawili tu, kwanini mbanane hivi!

    Huyo ni mtu na MKE wake
  11. M

    Waziri mzigo atua jimboni na mbinu ya kuwapa mtaji kina mama kwenye vikoba

    CCM Ni chama makini cheki waryoba msuya salimu Butiku kikwete mkapa jembe Lowasa MPAKA kaburi la Nyerere ni heshima njooni CCM kuna nafasi
  12. M

    Lowassa anaidharau kamati ya Mangula

    Huyu Lowasa habahatishi anafanya anachokijua na huyo ndiye atakayenyosha watz wamepinda sana
Back
Top Bottom