Recent content by Mahcyn Aliy

  1. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    yani hyo haijajazwa kabisa. hata mimi ni hvyo hivyo. sasa hatjaelewa kama tumepata au vipi. maana inaonesha tu vipengele vya mkopo lakini haioneshi kiasi.
  2. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    http://olas.heslb.go.tz/index.php/allocation/allocations/fresher_login_process#result ingia hapoutaona kama umepata au umekosa.
  3. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    kwan course za batch ndo zipi na zilobakia ndo zipi?
  4. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    much respect for u mkuu. thanks alot.
  5. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    ok asante.. bc toa maelezo at least tupate mwangaza tukifika mbeya tunaanzia wap
  6. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    hivi ukishashuka basi linalotoka dar es salam unaanzia wap mpk kufka chuon? explain briefly please. maana sie wengine it is the first time kuja mbeya.
  7. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    hvi chuo kipo mbeya sehem gan?
  8. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Teofilo Kisanji University tafadhali ingia hapa

    jamani kwa wale wanafunz waliochaguliwa kwenda teofilo mbeya lini tarehe ya kufika chuoni? maana naona kimya wala website yao hawajaweka hcho ktu.
  9. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kuhusu kubadili course ukifika chuo...

    na je vipi kuhusu course ya bachelor of science in environmental studies. soko la ajira lipoje hapA???
  10. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

    jaman kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu teku siku ya kuwasili kwa firs year students please atwambie. kwasababu kwenye web yao wametoa majina tu hawajasema ni lini watu waanza kufka chuoni.
  11. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

    ndio.. Tabora na Dar es salaam ni matawi. HQ yao ni mbeya
  12. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

    asant mkuu
  13. Mahcyn Aliy

    JamiiForums Tanzania Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

    naomba namb zako please. nikija nkutafute.
Back
Top Bottom