Recent content by Mahash

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    I'm very serious kaka, nimeongea kutoka kwenye uzoefu, kama huaman akanunue daw za Scabies atumie alaf alete mrejesho apa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    Umepata maambuz ya bacteria sanaojulikana kama SACBIES. Kwa mwanaume, dalili za Scabies huwa ni: Kuwashwa sana hasa usiku Vipele vidogo au upele kwenye ngozi Mistari midogo kwenye ngozi (sehemu wadudu wamepita) Vidonda kutokana na kujikuna Mara nyingi hujitokeza: kati ya vidole sehemu za siri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkaa na Mbao

    Nitaiji kampuni ambayo inawez ku export mkaa kwwnd nje kila mwez kw kontena la futi 40, kama unavo vigezo nichek
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Mpak hapo milion 50 na point inafika, ila bati nimetumia versatile, nazan ukitumia bati za kawaid izi za migongo mipana inawez bei ikawa chini kidog
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Mim nimejeng kam hio ila nd nimeipiga plasta nje na ndani nimefany blandering tayr, nimepiga zege chini ila sio vyumba vinne yang ni ya 3, na raman naon mama zinaendan nahii,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kianzio cha bajeti ya 25M, naweza kufikia hatua gani ujenzi wa nyumba ya vyumba 4.

    Bro usiogope mim nimejenga vyumba 3 ila nyumba kubwa san, saiv najipana na usaf
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga fensi ya ukuta kiwanja cha 20x30

    Vipi brother ulifanikiwa kuwek ya waya?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Bro umeelezea vizr mim, yangu ya vyumba vitatu, vyote selfie, sitting room, dining, jiko master ina dressing room, nishapiga bati tayr na shaweka magrills, nataka mwakan nianze kufanya usafi je kwa uzoefu wako nikiwa na 20m nawez kuimlz kunifanyia usafi bila fensi.?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop

    Vipi ushapat mtu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

    Vipi mkuu mrejesho Wa hizo bati
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Sas mzee nimekupa option useme security nifanyaj?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Shukran Sana kaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Aaah mzee hizo sio pigo zangu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Security utanimbia unatak nin passport yang au kitambukisho au lesen utakacho niambie tafuat kuhus security, vitambulisho vyote navyo
Back
Top Bottom