Kuna vijana watatu kutoka mkoani Geita, wanakuja kwa mguu kuja kuonana na rais Kikwete ikulu, ili kueleza kero zao kuhusu nchi yao, je? watakaribishwa ikulu? au wataitwa wahuni na wavuta bangi? nakumbuka rais amewahi kuwakaribisha watu wengi ikulu kama Ray c, Diamond, mzee yusufu, n.k, ambao ni...