CCM MMEACHA NJIA MMEACHA KUANDAA VIONGOZI SASA UONGOZI NI KUENDANA NA UPEPO.
Wasalaam wanajukwaa!
Tokea enzi za Mwalimu CCM walikua na utaratibu wa kuandaa viongozi ambao baadaye tunawapata marais, speaker, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu. Hivi sasa tuseme uongozi umekua ni kama zali hata...
Bonjour wanabodi!
MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.
Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
Habari wanabodi!
Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu...
WEWE NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE.. TANGU UTUMIWE KUMTENGENEZEA LWAKATARE KESI TUNAKUONA KAMA VIMA TUU NA KICHAA. HUNA CREDIBILITY YA KUMUONGELEA LISSU FUNGA BAKULI LAKINI HUNA JIPYA. UNAJIFANYA KUIJUA CHADEMA WAKATI UNATUMIKA
Hakika wewe ni Fal.a. sana. Sasa unataka kusemaje? Kwamba Abduli hakuenda nyumbani kwake wakati Wenje amekiri alimpeleka? Abduli alienda kufanya nini nyumbani kwa Lissu? Ni Mjomba ake? Kama siyo tishio alienda kufanya nini nyumbani kwake?
Narudia tena, wewe ni Flaaa haswaa.
Kwa sababu huna akili ndiyo maana unaandika upuuzi huu. Hivi tuzo ilikua kwa ajili ya nini wakati watu wanauawa, watu wanatekwa na kupotezwa.
Mbumbumbu labisa wewe huwezi kumwelewa Lissu. Tuzo ni maamuzi ya vikao vya kamati kuu. Kama kamati kuu haikukaa, Mbowe alikubaliana na nani na kutoa...
TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA.
Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
Sipendi sana Personalities lakini wewe naona huelewi na yawezekana hujasoma kabisa kilichoandikwa umekimbilia kusoma heading tu.
Umeulizwa hivi.... TANESCO hawakujua ya kwamba 2024 Population itakua ni watu zaidi ya milioni 62? Hawakujua kua mahitaji ya umeme yataongezeka? Short and Long term...
MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama...
Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala.
Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai.
Upinzani wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.