Naandika kwa hekima nisije kuambiwa nimetukana lkn hebu tufikirie Nyerere aliiacha nchi ikiwa na raslimali kiasi gani, na zimetusaidia nn km nchi mpk saivi tunakopa hela za covid kujenga maharasa. Tuna maji kila kona ardhi nzuri nchi nzima,lkn tunaagiza ngano na mafuta ya kula nje.bado nchi ni...
Alipumzika maana hakufanya kazi yoyote siku hiyo, siku sita za nyuma alifanya kazi.siku hiyo hakufanya. Na hiyo siku aliibariki na kuitakasa. Mbona inaeleweka. Kupumzika Haina maaana umechoka ila unaacha kufanya kitu au kazi uliyokua unafanya.
Timu Yako imeonewa? Ww ni muarabu? Unahangaika nn na Simba ya watu wakati timu Yako na mbabe wake wote walitokewa zamani, we kama huwezi kuangalia burdani kaangalie taarabu huko
Ok haiwezi kuwa kabila Zima japo hao waliounda utatu mtakatifu wamechafua kabila Zima, alaf soma tena habari yenyewe utaelewa inahusu watumishi wengi wa Siha kushangilia hao jamaa kuhamishwa, sio tofauti ya mtu mmoja ni wengi wameteswa
Duh hatari sana, lakini pia nchi yetu haina utawala wa Sheria, yaani mtumishi wa umma anawekwa mahabusu mwezi mzima na hajaiba, hajahatarisha amani yoyote? Anatoka hana kesi ya kupelekwa mahakamani? Dah bas tu Tanzania yetu hii
Sasa huo ushamba waliutoa wapi, wa kuteuliwa tu na kuanza kunyanyasa watu uliowakuta, just imagine mtu ametumikia nchi miaka 30 alaf linakuja lishamba linakutesa mahabusu mwezi mzma Bila tuhuma za kueleweka alaf linakufukuza kazi
Aisee hao jamaa ni zaidi ya wanyama, sio binadamu kabisa, nikiambiwa wana watoto naweza kataa, wamenifanya nione wasukuma kama kabila la ovyo kuliko wote Tz,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.