Ccm hiki kinachofanyika kwa uchaguzi huu ndani ya chadema hamtakaa mkijue. Ukimya was mbowe unamshindo mkuu.Fkilia Yale magalasa yaliyo jiengua na kuingia ccm yalitaka kujua chochote yakabiwa uchaguzi in process hivyo uchaguzi ndani ya chadema ulianza mapema,ndo maana mipango ilubaki kwa...
Hii siyo tume in tumwa.Inatumwa na maccm kufanya lolote.Haifai hata kidogo.Chadema nao wamekuwa watu wa matamko bila vtendo.mnaboa sana.Nende na nyomi yakutsha skumoja kwa msima mmwambie tunakwenda na familia yako. Sasa kila ngoma ya tumwa chadema mnacheza tu.Sasa so mseme basis kwa vtendooo ahaa.
Hii tume haitakaa itende haki maana inamilikiwa na aliyeiteuwa na aliyeiteuwa haamini katka kutenda haki, je itatendaje haki kwa hali hiyo.Hizo rufaa zilizo kubariwa naona kama ni usanii tuu,tena wanapima upepo.Vyama upinzani visiishie tu kwenye matamko vitambue wananchi wengi wamesha choka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.