Recent content by magweto

  1. magweto

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    𝒕𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒌𝒊𝒑𝒊𝒏𝒅𝒊 𝒉𝒊𝒌𝒊 𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒖𝒏𝒈𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝟗𝟎
  2. magweto

    Tetesi: Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!

    sasa makosa yote hayo ameyafanya na mmeyaona kwanini sasa asipelekwe mahakamani ili akaendeleze hayo makosa ili afungwe(maana ndio lengo lenu) mnajua mkifikisha mahakamani tu mchezo umeisha ndio maana hamtaki
  3. magweto

    Je, Sakata la Mbunge Mpina Linaamsha Hitaji la Mgombea Binafsi?

    sasa huyo mgombea binafsi atashinda nchi gani,hii hii Tanzania ambayo tume yote ya uchaguzi inateuliwa na mmoja wa wagombea? badili swali lako bwana unatusumbua bure tu!
  4. magweto

    Simu yako imepotea au imeibiwa? Usihangaike! Tunaweza kusaidia!

    Simu iikuwa mpya Haina password wala email lakini IMEI ninazo,vipi inawezekana
  5. magweto

    Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

    basi wewe endelea kutokutuamini wenzio wanatuamini na wanaendelea kutupatia na maisha yanendelea! upwiru can never be created nor destroyed but can be transformed from one woman to another
  6. magweto

    Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

    ni hilohilo au kuna mwendelezo kutoka wanaume wengine tena na tena?
  7. magweto

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  8. magweto

    Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

    hakuna nchi ambayo watu hawatekwi na kuuawa-Samia 2024
  9. magweto

    Tujikumbushe kauli tata za viongozi mbalimbali duniani

    nimeamua kuwa chura Samia 2024
  10. magweto

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  11. magweto

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

Back
Top Bottom