Recent content by magweje

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

    Mtoa Mada. ...Nonsense
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, UKAWA tusiposhinda urais 2015 na ubunge japo kwa 50%, plan B ni ipi?

    Mleta hoja pumba...hakuna haja ya kujibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza

    Angalieni picha tena ndio mtakubaliana na mimi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza

    Maana naona Magufuli ndiye anakazana sana kuwasalimia wao wamepoa tu wanashangaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza

    HAJABU - mbona huo umati uliomzunguka Magufuri hapo umetulia kama maji ya mtungi????? Au hakuna wasanii!!! Hii ni tofauti sana na umati unaomzunguka LOWASSA. My take ni kuwa washabiki wa Lowassa wapo excited na candidate wao kuliko CCM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anataka Urais kwa Nguvu, Gharama yoyote?

    Mtoa hoja tayari jibu analo....kwa nini ccm wapo tayari kushikilia madaraka kwa gharama yoyote!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

    Hii topic haina mshiko kujibu ni kupoteza muda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

    Kwa nini dada Faiza Foxy anapenda ukabila sana....Mara wachagga etc. Wamekukosea nini dadangu. Unatujengea chuki za kikabila na kidini...please stop referencing people's tribes. Shame on you!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Kwa mtizamo wangu huyu Dr either is incompetent au yupo biased...regardless ya sababu ya ufinyu wa uelewa wa issues anatia aibu fani yake na mwajiri wake yaani UDSM.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Nimemfuatilia Dr Bana kwenye michango yake mbali mbali na ninahafiki uwezo wake au huelewa wake ni finyu sana. He is a joke!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh Waziri Mkuu na viatu vya kulalia

    Mwacheni mzee Pinda ajipumzikie
Back
Top Bottom