Recent content by magwangalla

  1. M

    JamiiForums Tanzania DC Polepole aenda Supermarket na Kundi la Polisi

    Super market inayoitwa Alpha choice haipo Musoma. Sisi wazawa wa Musoma hatujawahi kuiona ira kuna kaduka kalejaleja kanaitwa jina hilo. Hatuelewi lengo rako hasa kwa DC huyo ira atakuwa kakuerewa wewe ni mtu la aina gani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey poleple: Salamu zangu kutoka wilaya ya Musoma

    Karibu sana Musoma. Mungu akujalie ujasiri uweze kutimiza ndoto za Serikali iliyopo madarakani. Musoma yetu watakutisha kwa njia nyingi, usiwaogope chapa kazi tuu maana walioanguka watajitahidi kurudi tena.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Hbr Musoma walazimisha Ukandarasi.

    Watalima lami mwaka huu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa Musoma adaiwa kughushi vyeti vya Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Mara yetu vyeti vyako vya kubania sauti kwenye tv kaa mwanamke vitachunguzwa lini na Takukuru??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa Musoma adaiwa kughushi vyeti vya Shahada ya Uzamivu (PhD)

    Mara...tu acha chuki na ubinafsi. kama jambo hilo linachunguzwa na Takukuru kuna haja gani kuwaingilia? Waache wafanye kazi yao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mtaendelea kumchunguza mkurugenzi wa manispaa Musoma hadi lini?

    Chuki za Musoma yetu dhidi ya mkurugenzi wa manispaa zilianza wakati na baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu 2015. Matokeo hayo ni uamuzi wa wananchi wa Musoma na si vinginevyo. Ukandarasi wa mfukoni hauna nafasi kwenye serikali hii ya JPm na kampuni hiyo( ya mara...tu) lazima itumbuliwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Hbr Musoma walazimisha Ukandarasi.

    Ndg JF. Kuna majungu yanatembezwa na mtu anaejiita Musoma Yetu dhidi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma akitaka Takukuru wampatie matokeo ya uchunguzi wanao fanya kwa watumishi wa manispaa ya musoma. Chanzo Cha Chuki ni kuanguka Vibaya kwa CDM Manispaa ya Musoma. Anguko hilo halikutokana na...
  8. M

Back
Top Bottom