magwangalla
Member
- Mar 20, 2016
- 8
- 2
Ndg JF.
Kuna majungu yanatembezwa na mtu anaejiita Musoma Yetu dhidi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma akitaka Takukuru wampatie matokeo ya uchunguzi wanao fanya kwa watumishi wa manispaa ya musoma.
Chanzo Cha Chuki ni kuanguka Vibaya kwa CDM Manispaa ya Musoma. Anguko hilo halikutokana na Watumishi bali ni maamuzi ya wananchi waliyofanya tarehe 25/10/2015.
Pili waandishi wengi hapa Musoma hasa anae anzia jina Mara..... wana kampuni za mfukoni za ukandarasi wanapita kila ofisi kuomba kazi akijimwa anakimbilia JF kuwa chafua watumishi.