Nawe ni boya vilevile; kama hao makandarasi waliokula fedha zetu wakaenda kujijengea nyumba za kifahali ili waishi kama wafalme na familia zao! Huku Watanzania wengi wakiteseka kwa ajili ya upumbavu uchu, na uroho wa hawa makandarasi tunaowaita wazawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna uhusiani gani wa moja kwa moja kati ya utawala wa Rais Magufuli na utawala wa kipindi hicho? Ni nani asiyejua kwamba waliokua wanapewa dhamana ya kutangaza tenda za miundombinu, hususani barabara kwa utawala wa nyuma ulikuwa ni wa ten 10%? Au BAVICHA mnatafuta pa kutokea? Hulo swali...
Acha akamatee iwe funzo kwa waropokaji wengine. Usicheze na Serikali ina vidole vingi. Hii sio enzi ileee! ya kuishi kwa tetesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.