Recent content by Magulumelafulu

  1. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

    Tunakoelekea ni kubaya zaidi nafikiri mipango miji imezidiwa na maamuzi ya kisiasa na ubepari usiojali kanuni na misingi husika ya kibiashara leo tunaongelea kuvunja mali na maeneo ya umma kwa usitawi binafsi inanikumbusha ule mradi wa bandari kavu kupelekwa nje ya mji lakini leo mji haufai kwa...
  2. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

    Nadhani mipango miji haikuzingatiwa huwezi weka jengo lenye ghorofa kadhaa tena kwa ajili ya biashara ikimaanisha mikusanyiko ya watu bila kuangalia miundombinu ya parking lilikuwa ni kosa. Hata ukivunja shule zote bila kuweka mpango bora wa parking kwa mwendelezo wa kuvunja majengo ya chini na...
  3. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kuanika nguo zake za ndani nje

    Kama asali haifichwi kulikoni mfuniko, acha vijana wakose nguvu za kiume
  4. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Sawa kwa hiyo majina mapya kama Anko T ndo mwake sawa kwa sasa Gari, nguo nk nk leo jina nalo mtumba wa mdhungu
  5. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Washaondoka na kurudi kwao maana hawakuwa raia wa Tanzania
  6. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Tatizo lako hujitambui wapokeaje cheti kilichokosewa badala tafuta majawabu kwa wahusika ukakibeba mpaka mtaani mtajuana vilaza mtoaji na mpokeaji kwangu mie sina mawazo wala mchango wowote kilaza mkubwa wewe. Tuwekee hicho cheti kwanza tukione bila picha ama pdf ni ujinga kujadili
  7. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Wanyama wanathamani kiasi hicho tanapa heshima yenu

    Tembo hana bahati sawa na kugongwa treni ni sawa nani mwenye akili nani mwenye njia mbadala nadhani sometimes tusijitoe ufahamu
  8. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Aliyesema wake zetu wamezeeka aje awaombe msamaha.

    Mbususu kuipata tabu sana tumbo ka lote bila sahau paja ka la ng'ombe kwa ukubwa
  9. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Yuko kule China ndanindani anafyatua vifaa vya electronics kama radio,TV,solar nk nk
  10. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Kweli si vitoto vya miaka 12 kisa bikra wakati matako yafunguliwa na mwisho mahari kubwa ya nn wakati kichwani boga na shule aka elimu dunia 0. Kila mmoja acheze anakochezea kwa step asimkanyage mwenzie
  11. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kama njugu kwa video ya wadada wa kitanzania wanao fanya mapenzi ya jinsia moja kuna leta tafsiri gani?

    Nguvu wanaume watatoa wapi kwa huu mfumko wa bei hasa vyakula bado kodi ya meza ikiwa palepale
  12. Magulumelafulu

    JamiiForums Tanzania Hakimu na mawakili wa serikali mnajua kuwa hata mkiweka mashaidi wa uwongo, mkaendesha kesi kwa mtindo wa Hovyo bado nyie mnafamilia zinafahamika

    Nadhani tusifike huko mapema hivi mbona mbali sana kumbuka twaishi nao na twanywa nao bia tushauriane nao
Back
Top Bottom