Recent content by MAGORIGO

  1. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyama anayefanana na ng'ombe aonekana ufukweni

    Kongole kwa jamiicheck kazi yenu imetukuka
  2. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Richard Mabala

    Mabala the farmer is my favorite
  3. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za ubunifu zinazoweza kusaidia kuifikia Tanzania tuitakayo

    Hongera sana kijana, andiko safi
  4. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Pia katika andiko hili nilijaribu kuongelea sana vifaa vinavyotumia teknolojia mpya hasa ya molecular biology, naamini inabidi tutoke kwenye hizi diagnosis za kila siku, tuhamie kweny ulimwengu wa molecular biology, tuextract DNA tuka analysis tupata majibu yakuaminika.
  5. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Unachosema ni kweli, mimi kwa maoni yangu sio kweli kwamba kila kituo lazima kiwe na vifaa hivyo vya kisasa, ila nilikua naona kuna haja yakusogeza huduma hizi kwa raia angalau hata katika ngazi ya wilaya mtu awe anaweza kupata huduma ambayo saivi inabidi aende hospitali ya rufaa, naamini kama...
  6. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye kiwango kidogo cha Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya Dawa (UVIMADA) ifikapo Mwaka 2035

    Hongera kaka hili ni silent bomb linahitaji juhudi kulidhibiti
  7. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Ni kweli kabisa, sasa hivi ulimwengu unaenda katika kumtibu mtu kutokana na vinasaba vyake(personalized medicine/precision medicine) ila kwetu hapa bado molecular biology and biotechnology ni mjadala inasikitisha kwa upande mwingine, natamani kuona juhudi za THGO(Tanzania Human genetics...
  8. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Nashukuru sana, ntalifanyia kazi hili
  9. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Ila naamini hapa jamiiforum pia limefika kwenye mikono salama, ni rahisi kuwafikia wahusika kuliko ningepost kama private post
  10. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Asante sana kaka, God bless you
  11. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Asante sana kaka, ntafanyia kazi
  12. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi katika sekta ya afya kupitia sayansi ya "molecular biology na biotechnology"

    Uhakika kaka, serikali inaona watu tunaendelea Kuishi na vipimo hivyo vya zamani inahisi kama vile hakuna haja ya mabadiliko
Back
Top Bottom