Recent content by magnus msambila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Hawa Ccm bwana kila wakati wanapenda kupindisha mambo kila panapoonekana kuna jambo la kuipinga serikali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Diwani yuko sahihi. Hatetei bangi anapinga utendaji kwenda kinyume na sheria. Diwani anajitambua.
  3. M

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Hawa ni watu wasiojulikana. Bunju kuna watu wastaarabu sana huku. Tumeingiliwa Sasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Haya mambo yameanza lini tena hapa Bunju. Ni Bunju gani hii A au B?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

    Usiwatazame kama hupendezwi na uvaaji wao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

    Wazungu msiwahusishe kwa uvaaji. Wazungu wanajiheshimu sana uvaaji kwenye misiba si wanawake si wanaume. Kwa kweli wanavaa vizuri zaidi waendapo makanisani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    Lema apewe mc azungumze kidogo kwenye sherehe hiyo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    Hapo panafaa Maaskofu wanafaa wamwambie mheshimiwa bila kumung'unya maneno nini kilio cha Watanzania.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji Katibu Mkuu wa CHADEMA tunaomba ufafanuzi ' Kuntu ' wa hizi kauli zako ulipokuwa Startv

    Watawala mafisaji wanapambana na mafisaji kwa maslahi yao siyo ya wananchi. Mpaka mahakama za mafisaji zimeundwa lakini mpaka Sasa hakuna mtu hata mmoja aliyehukumiwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Nchi inaelekea wapi? R.I.P.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Kila mwenye mapenzi ya dhati na Tanzania amwambie Magufuli "unaipeleka nchi kusikofaa"

    Chahali umenena. Umetimiza wajibu wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Dola haikuhusika na mauaji hayo. Hayakuwa ya kisiasa. Tundu Lissu yuko sahihi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

    Sumsung Simu the best number 2 kutoka iphone duniani.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo makubwa yanayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 5, hii ndio CHADEMA

    Ccm wangeendelea na Sera zao za porojo zingewasaidia kidogo wajinga walikuwepo bado lakini kosa kubwa kwa wananchi kutumia Polisi na mtutu wa Bunduki. Wajinga wengi wameamka hata mkoloni alishindwa.
Back
Top Bottom