Recent content by MAGLINE

  1. M

    Kutoka uwanja wa Shule ya Jangwani - Ifakara: Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA

    kukatika kwa umeme inaweza ikawa mkakati wa kuzuia watu wasione kampeni za wagombea wa upande fulani
  2. M

    Sasa ni vita kamili, Kinana aweka kambi Monduli

    dont hunt what you cant kill!
  3. M

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    ...na umeingizwa moja kwa moja kwenye mita... fafanua vizuri hapo, umeme unaingizwa na mteja kwa kujaza token, au ni mfumo mpya?
  4. M

    Kuna watu hufa mara mbili

    kifo ni mara moja, hicho cha pili ni chako kupiga mateke watu waliokuwa wamezimia na madaktari kutokuwa makini kuthibitisha, teke lako huwapa mshutuko mkubwa na kufa! waziri mkuu mmoja alienda kuiona maiti ya dereva aliefariki kwenye ajali ya msafara wake, alipoikuta maiti inatoka damu alishauri...
  5. M

    NEC kuvuruga uchaguzi, watoa takwimu za uongo

    katika nchi za kiafrika wakati wa sensa idadi ya watoto chini ya miaka 18 huwa kubwa kuliko watu wazima, lakini wakati wa kuandikisha wapiga kura idadi ya watu wazima huwa kubwa kuliko watoto!
  6. M

    CCM imechoka ona hii sasa

    huu wimbo ccm wanauimba kila leo, lakini hawaoni maana yake kiundani! ni kweli ni ile ile, ni wale wale! kama ni waelewa umewasaidia kifasihi.
  7. M

    Uamuzi wa NEC pigo kwa UKAWA

    kwa maoni yangu ni pigo kwa ukawa kwa upande tofauti ya ulivo eleza, ni nafasi ya chama tawala chenye nguvu kubwa ya kifedha(japo uhalali wake u mashakani) kurubuni mawakala wa ukawa vituoni, au kuhonga wasimamizi wa vituo ambavyo ukawa watashindwa kuweka mawakala
  8. M

    CHADEMA waibuka na style tofauti

    kuna njia mbali mbali za kwenda kwenye mikutano au hadhali kutegemea na umbali uliopo, aina ya usafiri ni uamuzi na uwezo wa mtu au kikundi cha watu
  9. M

    Darasa la Saba kesho wanafanya mitihani yao ya Taifa kuhitimu Elimu ya Msingi

    Matokeo ya mtihani hutegemea na maandalizi aliofanya mtahiniwa na si maombi, hata hivo hakuna uhalisia katika upimaji kwani hata kubahatisha kupo, mitihani yote ni ya kuchagua jibu (multiple choice) hata hesabu!
  10. M

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    watakuwa wagombea wa majimbo ambayo si 'prominent' kwa ccm na wameona nafasi za ushindi ni ndoto
  11. M

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    itakuwa ni watu wa hesabu hao, hawaendi kupewa majimbo ya kugombea bali wamecheza na namba: wamegawa, wakazidisha, wakaongeza wakaona inayobaki ni kutoa, la! wakashtuka, ushindi hakuna bora tuvute pesa na kutangaza kujitoa!
  12. M

    Wassira atimka na daftari la wadhamini

    kwa hapo inabidi niwe mpole!
  13. M

    Wassira atimka na daftari la wadhamini

    daftari la wadhamini ni mali ya serikali, mtu kuondoka nalo ni kuvunja sheria, bunda hakuna polisi? hawakupewa taarifa? au ndio kawaida ya bora liende?
Back
Top Bottom