Recent content by Magila G

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kutokuwa na dini

    kitendo cha kuamini uwepo wa MUNGU kinaonyesha wazi kwamba Kumbe nawewe dini unayo labda hujui maana ya neno dini. sasa tuambie hiyo imani yako wewe imeletwa na watu gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kutokuwa na dini

  3. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

    Kinga ni YESU Kristo peke yake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

    Hakuna uchawi mzuri , uchawi wa aina yeyote ni mbaya ndio maana wachawi wote siku ya hukumu wataenda kwenye jehanamu ya moto
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mauzauza: Vitu vya ajabu vinamtokea ndugu yangu akiingia kwenye nyumba anayoijenga

    Mungu akubariki sana kwa ushauri wako mzuri. Maana Mungu akiongoza maisha yako hakuna cha kukusumbua
Back
Top Bottom