Recent content by magicdavie

  1. magicdavie

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Anataka mabaya yake aliyowafanyia wenzake yote, yafutwe na neno NISAMEHE 😂, atulie tu zamu yake ifike , unafanya ubaya kwa kutegemea kuomba msamaha.
  2. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke wangu kuniambia kila Mwanaume anayemtongoza?

    Akiacha kusema tu, kashatafunwa😂😂😂😂💕
  3. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Hili ni swali zuri sana, ila sina uhakika kama watu watajibu
  4. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Umetoa maelezo mazuri kabisa.💪
  5. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Tunahitaji kuambiana mambo kama haya , umesomeka 💪
  6. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

    Hili swali zuri sana , ila watu wanakimbia kujibu walichoulizwa.
  7. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

    Na hao wazee watuachie mademu zetu😄
  8. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua protokali ni Sahihi mtu mwenye umri mkubwa kumsalimia mtu aliyemuzidi cheo (status), mkubwa kicheo?

    Tatizo tunaishi kimazoea, Shikamoo "ni salamu anayopaswa kupewa mzee, na ni salamu ya heshima kwa mzee.
  9. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

    Kosa la mwanamke kucheat huwa halisamehewi, labda uwe mwanaume mzee
  10. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    Ilikuwa ni kazi ya ndoto yangu, na ndoto ikaishia ndotoni zi
  11. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

    Najitahidi kukuelewa , ila kama wewe ni MWANAUME tambua kuwa FURAHA sio suala la msingi sana wala usiliweke kipaumbele kwenye maisha yako, jitahidi kufanya maisha yako yakae sawa au vizuri zaidi ya ulipo ,.
  12. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Ninachofahamu mimi binafsi, ni kuwa huwa wasema hivyo hivyo(nikuzalie) ila akizaa tu, trip za kwenda dawati utaziona , utahangaika sana kulea mtoto huyo.
  13. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

    Nimejaribu kukuelewa kwa upande wako, ila watu wakisema majukumu ,hawamaanishi majukumu ni yanafanana. Kila mwanaume huwa anaweka rules zake kwenye ndoa yake ambazo ni za ziada ,ila kuna majukumu ambayo ni universal kwa WANAUME ,na mwanaume ili uwe mwanaume lazima uwe PROVIDER,sisemi ufanye kila...
  14. magicdavie

    JamiiForums Tanzania Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

    Nilijifunza zamani sana kuwa mke wa mtu ni mke wa mtu, ila shida vijana wengi wamejaa ubishi sana , tujitahidi kuheshimiana na kuheshimu wake za watu.
Back
Top Bottom