Recent content by Magha

  1. Magha

    JamiiForums Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Kocha badala ya kutumia mashindano sportpesa kufanya mazoezi wanayatumia kufanya majalibio ya wachezaji wapya tu tusishangae Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Magha

    JamiiForums Kagera: Basi la Kampuni ya Frester lapata ajali na kupinduka katika maeneo ya pori la Biharamulo

    Dar lux mwanza nairobi kila siku.amemwaga kama mvua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Magha

    JamiiForums Kampuni ya mafuta ya Davis Mosha, Kobil Oil imeuzwa rasmi

    Kampun nyingi zinahali ngumu kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    haya maeneo yanahitaji viongoz wasioteteleka
  5. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Ninaosema hao walikuja saa nane usiku na kuboa madilisha katika mji mnne kwa siku moja
  6. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Shida viongoz wa maeneo husika hawajali,wao wanakuta wanawafahamu halafu wanaficha siri
  7. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Huyo jamaa yuko mtaa gan?
  8. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Yale ni majengo mapya bila uongozi kuwa stable wanaweza wakajijenga Uliza mitaa ya nyasaka secondary watakuambia
  9. Magha

    JamiiForums Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Imekuwa kama ni kawaida sasa katika mitaa ya Nyasaka wilaya Ilemela mkoa wa Mwanza kuzungumuzia vibaka kwani hakuna ambaye hawajamwingilia katika maeneo hayo Huku uongozi ukionekana kutochukua muhimu mkubwa katika suala hilo. Tunaomba Mbunge wetu wa Ilemela alione hili kwani vibaka wanataka...
Back
Top Bottom