Recent content by maggiepatrick

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Habari zenu jmn.. naombam msaada niko mwaka wa kwanza na nilikuwa nataka kuchange kozi niamie BCOM nimepata division two ya 8..ila nilisomea HGL na sikufaulu hesabu vizuri o level je kwa hapo udom watanikubalia?... :hail:
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekosa mkopo anapewa meal and accomodation allowance?

    Samahani jmn kama. Umepewa hata 0% utaijuaje na ikiwa umeandikiw you are not secure for loan...coz mwaka huu sijaona asilimia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Jamani loan board imetoa majina yote au kuna mengine
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Sijakusoma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ok am sorry plz naombeni jibu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ivi kwa wanaopata law udom wanaweza kupata mkopo kwa mwaka huu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Kwani wewe uliaanza hapo mwaka gani...coz me nimechaguliwa huko law but naogopa if ntapata loan
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ivi ni kweli kuwa wanao pata post udom hupata mkopo hata kwa kozi kama law
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ivi kwa wale tuliochaguliwa udom naskia mkopo kupata ni rahisi
Back
Top Bottom