Recent content by Maggie1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mke wako ulimpata wapi?

    hil nalo ni swali la kuuliza?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

    la kutafuta mume
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

    Ukizingatia me nimetoka kutoa tangazo hapa juzi juzi hii thread imenifanya nijihisi vibaya kwa kweli mwee, i hope wanawake hatuko included kwenye hili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Hujanielewa na wala sijamuhukumu mtu na hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mimi sina dhambi, ila inaonekana imekuuma sababu na wewe ndo wale wale
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

    Huyo analiwa na huyo mfankazi mwenzie au kama bado hawajaanza kulana basi wako mbioni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inawahusu wanawake na wanaume usione uvivu kusoma ndugu tuokoe dada zetu,mama zetu

    me nimeishia kwenye dalili loh
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mama na mtoto wauliwa kwa risasi!

    Si bora ingekuwa mali hapo ukute kauawa na mumewe manake mikoa hiyo wana kesi hizo sana za wanaume kuua familia zao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    kweli binadamu maisha yetu ni mafupi sana ila huwa tunaishi kwa kujisahau mno, tunaishi kwa mazoe lakin lait tungekuwa tunakitafakari kifo na tuendako baada ya hapo tungekuwa watu tofauti, manake nimemwangalia huyo dada na hizo picha zake za uchi nikawaza sahiz kashakutana na muumba wake, sijui...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano

    bado mwaka mmoja ufikishe miaka 33 au bado mwaka mmoja nini? sijaelewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba kakataliwa kisa shepu

    mtoa mada ni mwanaume, kwahiyo anaekataliwa hapo ni mwanamke
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba kakataliwa kisa shepu

    mmh we unaonekana ni zile type za wanaume wanaosikiliza sana ndugu zao, mwanamke utakaekuja kumuoa atapata shida sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano

    Habari wapendwa! Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote, kwani nina ushahidi wa watu ambao wameshafanikiwa kwa njia hii. Sifa ni simple tu awe na elimu ya...
Back
Top Bottom