Recent content by Magere Cheops

  1. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni Powercef (Ceftriaxone) ikashindwa kutibu kabisa kutokana na drug resistance

    Kabisaa....Kuna wahudumi wa afya hapa kijijini ni wa hivyo sana yaani ole wako uonekane na UTI tu kwenye kipimo haukuachi anakudunga ceftriaxone tano halafu kila Moja ni elfu saba wakati maduka ya jumla yanauza mia sita 🤔🤔
  2. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

    Utamu mwingine huu hapa
  3. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

    Mi sikutaka kuletwa hapa ..mods mmenileta huku ambapo sikupataka ..nataka ule Uzi uliondikwa DONDOSHA KITABU CHOCHOTE KWA NJIA YA PDF. Huo Uzi ndio ninaotaka maana niliufikia mara moja tu na bahati mbaya kabla sijacomment chochote nikatoka sasa umepotea nimetumia Kila njia kuufikia...
  4. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hapa pamoto
  5. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

    DONDOSHA KITABU CHOCHOTE KWA NJIA YA PDF Naomba link ya huu Uzi ..nlikuwa naufatilia sasa ghafra umepotea na nimeutafuta siipati...naomba kusaidiwa namna ya kuupata ndugu zangu
  6. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    Kumekucha aisee
  7. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Duuh...kumbe mnaburudika halafu mmenyamaza tu ...sio poa washkaji..
  8. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

    Anakuiga kuandika mkuu....mi nikahisi ni wewe...
  9. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

    Kabisaa yaani....utashangaa mwanamke ni mke wa mtu lakini ni mchepuko wa x wake ....ogopa Sana x anayekutaka Baada ya kuolewa na mara nyingi hiki huwa ni kikwazo kigumu Sana kwa mwanamke kukiruka.... Matokeo yake anayakoroga huko kwa Mme na x anamkimbia anabaki kuita wanaume wote mbwa......
  10. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Anayebisha abishe Kwa ushabiki tu kwa wasanii wa kike rubby ana sauti nzurii.....narudia hata huyo komandoo amekiri mara nyingi kwenye mahojiano kuwa rubby Kwa sauti ni wamoto.....
  11. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

    Achana naye Bado mapema kabisa huyo...wewe ndio uliyempenda na ndio maana ukatangaza ndoa harakaharaka ila wewe Wala haupo moyoni mwake...anampenda huyo x na pengine hata hawakuwa wameachana ila ulidanganywa
  12. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    Hii ndio shida ya Hawa Eva wetu....yaani msela kamtumia kitambo akaona amuweke pembeni jamaa umemfanya wife ukamtunza na kumuogesha jamaa limejisogeza Tena daah...na mara nyingi huwa sio rahisi Hawa viumbe kuruka hiki kiunzi Cha ma x..... Kwa kuwa umegundua kaa naye chini ongea naye kistaarabu...
  13. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Hicho ndicho kilichoandikwa kwenye tittle ya Uzi huu....imeongeleea sauti kwanza sio
  14. Magere Cheops

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Umeona enhee...enzi hizo Ray C ndio alikuwa zuchu wa sasa hahahaaaaa.....tatizo aliingia kwenye biashara ya unga sasa
Back
Top Bottom