jaman mi nina mchumba wa kabila fulan lakin ndugu na jamaa wanaxema eti hilo kabla huwa lina tabia ha kuua wanaume hasa mnapokua na mali nyingi jamani. naombeni ushauri kabla ya kwenda hatua nyingine
vijana wengi wanao jiunga na vyuo wanasoma kozi kwa mkumbo bila kuangalia hali za familia zao.eg. m2 anasoma kozi hajui hata soko la ajira katk koz hzo matokeo yake wanakosa hata sehemu za kufanya field. koz nyingine ina bd usome kama kwenu kuna kampun au ngos.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.