Recent content by magee

  1. M

    Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Ualim os not a cursed job shida waali mu hatujui thamani yetu na we dont put a price tag on ourselves,as a result tunaacha mtu mwingine aweke thamani kwetu......kutana na mwalimu anajua thamani yake ukweli atalipwa kulingana na thamani yake. Nature has its own rewarding system TAFUTA MWALIMU...
  2. M

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Ni ngumu saana kurudisha imani ila ni ngumu zaidi kuanza upyaaaa hasa kama watoto wako kati yenu, waweza jidanganya mwaka ama miwili ila inafail....sikushauri hata kidogo take ur time, heal and all shall be well, wanaume ni walewale na wanawake ni walewale...kubwa duaaa!!! Bottom line zimwi...
  3. M

    Weekend story! BEN 10

    Mi nahc huyo konki mpya ni LINDAAAA.....,hakufaaaaa
  4. M

    Weekend story! BEN 10

    Mungu anakuona Lara
  5. M

    Wachina watengeneza mafuta ya kupikia kutoka kwenye pumba za mpunga

    ni kweli......Kuna mafuta ya pumba za mchele,huku kwetu technolojia hiyo bado ila mkigoogle mafuta hayo yapo
  6. M

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    I love Lissu,I love my sweet president,I love Tanzania.....Raisi ameonyesha njia,Lissu amesaidia kuongezea kumulika wezi, NAIMANI Rais atachukua hatua,ila maswali ya msingi ni kama aliyoyauliza Lissu.JE WALIOHUSIKA WATASALIMIKA? Busara kubwa yahitajika namna ya kuliendea hili. Lisu umejaa hekima...
  7. M

    Kiwanja kinauzwa Madale

    Kiwanja kinauzwa madale ,ukubwa 625sqm...kipo barabarani.Anaehitaji ani pm.
  8. M

    Nina vigezo vyote lakini nimekosa mkopo, Waziri Ndalichako unaliangamiza Taifa

    Mm ni mzazi.Sizalii serikali......nazaa nalea watt na kusomesha.Serikali isaidie pale mzazi asipoweza.Africa tumezoea kila kitu tufanyiwe na serikali....kazana kuzaa usubiri serikali ikusomeshee watt....tutaendelea kuwa na taifa la kila kitu serikali.Untill u change ur mindset...mengine...
  9. M

    Nina vigezo vyote lakini nimekosa mkopo, Waziri Ndalichako unaliangamiza Taifa

    Niseme jambo moja litakalokuwa msaada kwetu wote,kama mzazi nasema hivi si kazi ya serikali kusomesha watt tunaozaa bali ni wajibu wa mzazi kusomesha mtt huyo serikali ikisaidia kusomesha ni msaada tu na sio wajibu na msaada ni kwa wazazi wasio weza kabisa kusomesha watt.Naamini asilimia kubwa...
  10. M

    Msaada: Ni wapi nitapata mashine za kufanyia labling?

    Habari wanajukwaa,naomba msaada wa wapi naweza pata mashine za kufanyia labling kwenye nguo za cotton na hasa mashine za kufumia lable kwenye masweta.
  11. M

    Msaada: Connection South Sudan

    Asante kaka.....nitazidi tafuta taarifa,nilitembelea wzrani wakasema mchele hauko kwenye zuio.nitarudi tena kwao.
  12. M

    Msaada: Connection South Sudan

    Habari wanajamvi. Mi ni mzalishaji wa bidhaa za chakula hasa sembe, mchele brown na white (mbeya kyela), maharage nk. Ningependa nipanue wigo wangu, natamani kufanya biashara na kenya na sudani kusini,ila zaidi sudan kusini tatizo connection na namna ya kupata taarifa sahihi za kodi na malipo...
  13. M

    Nataka package za mifuko ya plastic

    Omary packaging.
  14. M

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Watanzania tusiishie kulalamika majukwaani tu....haitusaidii saana,we go front and ask wahusika maana kulalamika chinichini na tena kwawatu ambao majibu hawana kama wewe ulieanzisha mada na wachangiaji wengine ni kupiga tu kelele!!!Better kuandika mapendekezo kwa vyombo husika ya kwamba mbio za...
Back
Top Bottom