Recent content by Magati

  1. M

    Blandina Nyoni aula TRA!

    Tunapoamua kuwa waadilifu basi tuwe wote, isijekuwa unajifanya mwadilifu kumbe nyuma ya pazia ni mwovu. Naona nyote mnamzungumzia Blandina Nyoni kwa kusikia watu wanavyosema, shukuruni Mungu hamjawahi kuwa surboninate wake ni hatari
  2. M

    Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

    Sidhani kama haya ndo majaaliwa yetu Watanzania. Tuache kulalamika. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
  3. M

    Wassira amtupia dongo Mwigulu...

    Mwigulu na Wasira angalieni qualifications za madiwani. mi nilidhaniwagombea udiwani walitakiwa wawe na sifa kama za wagombea ubunge au ikibidi zaidi ili kuzisimamia vizuri Halmashauri zetu ambazo ndo major recepients wa rasilimali za nchi hii.
  4. M

    Wassira amtupia dongo Mwigulu...

    Hapo hata waje wawakilishi toka mbinguni nchi hii,maendeleo itakuwa hatua mbili mbele tatu nyuma. ISSUE HAPA NI MUUNDO WA HALMASHAURI ZETU, NO BODY IS SAYING ANYTHING ABOUT IT. madiwani hawana uwezo wa kusimamia rasilimali zinazopelekwa kwenye halmashauri. madiwani wanachowaza wao no posho tu...
Back
Top Bottom