Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtaji wa milioni 4 na mzunguko wa milioni 4, mwenye mtaji wa milioni anaweza kuwa na mzunguko wa hata milioni 30 kwa mwaka, mwenye mzunguko wa milioni 4 anaweza kuwa na mtaji wa hata 5000.
Kuna polisi utadhani waliota kama miti, unakuta jitu linajiona, hadi unajiuliza hv huyu ashawah kuwa na marafiki, classmates, ana hata ndugu kweli?? Nawaambieni YATAPITA. Hiyo michango labda kwa lazima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.