anaheshim utawala wa serikali ndiye atakuwa anaheshim Mungu anayemtumikia ,maana au kwa maana serikali popote duniani kichwa chake Mungu baba , hata biblia inasema heshimuni mamlaka.
ukichunguza vizuri hawa wote waliokoment wengi wao utapata kwenye vyeti vyao vya elim ya secondary fffffff zimepanaga au dv 0 za kutosha , amini nakwambia
kwani mbona lowassa aliondoka na alikuwa zaidi ya huyu mwendawazim malaya nyalandu , tena alikuwa na marafiki ccm zaidi ya mara mia ya malaya nyalandu , coastal na tanzanair wanamjua kawamaliza sana pae.
umepewa mfano hai haiwezekani maamuzi magum tu yatoke kwa dk tano wakati mlizunguka nchi nzima kutuaminisha lowassa fisadi namba moja. toa boliti kwako before ya kibanzi cha kwa mwenzako.
Imekuwa shida na tabu sana sasa kwangu toka nikiwa single nilipiga na sasa niko na wife naye ananipa haswaaa ila nikimalizana naye tu baada ya two hours lazima nitake punyeto , ushauri please nini kifanyike.
WADAU hebu nipeni mbinu gani gani ili niweze kuacha punyoto maana toka nikiwa single napiga hii kitu cha ajabu hadi sasa niko na wife hali ilele najitahidi kuacha ngoma imekuwa ngum , hebu nipeni mawzo nini kifanyike nisahau hili tendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.