Recent content by maganjwa

  1. maganjwa

    JamiiForums Tanzania CCM HII SCRIPT ITAWACOST

    Who cares
  2. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

    Kwa kweli hali ni mbaya sana
  3. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Ccm wameongeza Kuni kwenye moto unaowaka.

    Yaani wewe acha tu
  4. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Ccm wameongeza Kuni kwenye moto unaowaka.

    Kwa jinsi hali ilivyo na upepo wa siasa unavyovuma wasingemfukuza Emanuel Nchimbi Kwa kusema hana nidhamu. Kwanza waliotakiwa kujua siasa ya nchi yetu imekuwa ngumu sana hasa Kwa ccm kuliko upinzani. Na kwenda Kwa wananchi na kueleweka inahitaji kuweka unafiki pembeni na kusema ukweli. Hapo...
  5. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Polepole tutamkumbuka Kwa ushujaaa wake
  6. maganjwa

    JamiiForums Tanzania CCM inaweza kuendelea kutawala?

    Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani? Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
  7. maganjwa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    M Maji yamevurugwa kiasi kwamba hayaliki kabisa alikuwa lisu Sasa hivi gwajima wanakuja wengine wengi tu
  8. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Yaani Kwa Nini mzuie huo mkutano kwanini mnapata taabu watanzania kupotea kwenu siyo tatizo
  9. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

    Huo ni mpango wa muda mrefu wa kuua familia. Keep away fadha then all children remain with woman after that come generation of no fadha and be like dogs 🐶 🐶 🐶
  10. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

    Mbona ngumu kuamini
Back
Top Bottom