Recent content by Magangati

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

    Siku hizi hakuna nyumba za walimu mashuleni bwn,usipotoshe umma.walimu wengi wana nyumba zao na wengine wamepanga.hili la kujiendeleza kielimu umeshauri vema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    Mbona kwa ukali sana mkuu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Hili Dampo la Buhongwa ni chanzo cha Magonjwa ya Tumbo na Kipindupindu

    Sisi watz na wasomi wetu wa ajabu sana hv kweli soko linawekwa kwenye dampo unategemea nini!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Hongera sana Fr. Dk. Charles Kitima kwa kutoa elimu ya Uraia kwa waumini kuelekea uchaguzi

    Hongera nyingi kwa mtaalamu Dr.Kitima.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Mt.Ritha wa Kashia utuombee.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    Mbona mchakato mrefu sana kuliko hata upatikanaji wake?!
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mwendokasi imesitisha huduma Kibaha na hakuna maelezo

    Mwanza kwa sasa tunahitaji mwendokasi.Kwa wanaoijua mwanza usafiri ni wa shida sana hasa asubuhi na jioni hasa siku za kazi.Subiri shule zifunguliwe uone kasheshe lake.Hizo hiace na coaster hata hazifai tena.Tufikiriwe na sisi jamani.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    Hujafanya utafiti bro umeandika tu.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Ni kweli umesamehe na uko tayari kuishi naye au ni pressure ya watoto tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mafumbo ya Kiingereza njooni hapa

    There is no English like that.The correct English is which has 4 letters?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Meatu,Kishapu pia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ashinda tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika 2024

    HHo Hongera sana umetuwakilisha vema.You have inspired me!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

    Hakuna wa kulaumu hapa.sisi sote ni watanzania tunaopaswa kila mmoja wetu kwa nafasi yake achukue hatua kukemea maovu na kuunga mkono mazuri!
Back
Top Bottom