Recent content by maganason

  1. M

    UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

    wewe mzima ila damu chini kila mwezi
  2. M

    Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    Mm naamini wewe kama huna maslahi binafsi basi wewe unamatatizo ya upeo kufikiri,kwa hali ya nchi hii kukuta mtu mzima anaeweza kushughulisha akili yake hata 0.000000000001 ataelewa tatizo liko wapi na ni nani lakin kuja humu na mada za chadema na Dr.slaa hazisaidii kutatua matatizo sugu ya nchi...
  3. M

    Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    Ukweli ni kwamba ccm imeshindwa kwa kiasi kikubwa kutatua matatizo ya wananchi na kujinufaisha wao pekee na uongo ni kutaka kuaminisha watu kuwa Dr.slaa ni tatizo nchi hii kwa sababu chadema hawajawahi kushika dola hata siku moja ila ccm wamepewa kwa mda mrefu wamevuruga na pia tukianza...
  4. M

    Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    Hoja ya msingi tuliyonayo ni maisha magumu na yaliyochangiwa kwa kiasi kikubwa na ccm,hoja ya Dr.slaa kuchukua pesa,mara msaliti haijasababisha niishi maisha magumu.sion sababu ya kulizungumzia hilo
  5. M

    Vijana wa leo wanatumiwa na wanasiasa bila kujijua(shame)

    Wao wanatumiwa wewe unatumika kama mpira wa kuvaa kwenye .......
  6. M

    Vijana wa leo wanatumiwa na wanasiasa bila kujijua(shame)

    Wanatumiwa kama wewe unavyotumiwa kama co....m!!!!
  7. M

    Mzee Tendwa wanachofanya CHADEMA ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku?

    Mbona ccm mlizochota EPA bado hamjarudisha eti rais wenu anasema"wezi tumeishawabaini na wanaanza kurudisha"bila aibu leo mnashadadia mambo ya kitoto na kuyaona makubwa na kuyapa mantiki ilitusahau yetu wezi wa mabwepande nynyi!!
  8. M

    Mzee Tendwa wanachofanya CHADEMA ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku?

    Mtu mzima kama wewe mwenye uwezo kamili wa kufikiri na mwenye kujua ccm ikoje na matajiri wanaitumia vip kunyonya damu ya masikini huwezi hata kidogo kuitetea na kumponda mtu kama Dr.slaa,kukopa ni kawaida na mkopo wenyewe kaisharudisha mbona husemi kuhusu mafisadi wa sisiem wanaiba kila...
  9. M

    Hongera CHADEMA kwa kuyashinda haya!mnatupa imani zaidi kuelekea 2015!

    Kweli wewe mzinga umekosa akili ndogo tu ya kujitambua,wewe ni miongon mwa wajinga wanaolisumbua taifa hili sababu ya uelewa kidogo!!
  10. M

    Msaada kuhusu mahusiano kat ya serikali ,ccm na wajumbe wa nyumba kumi

    Kwa mda mrefu nimekuwa nikishuhudia wajumbe wa nyumba kumi wakifanya kazi za serikali kama vile waajilwa serikalini au wamechaguliwa na wananchi.naomba kuelewa kama hili swala ni sahihi kisheria!!
  11. M

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Ndugu yangu wewe hamnazo,inaonekana ubaya ni ndugu yako!!
  12. M

    Dr Slaa amlipua rais Kikwete; adai hana ubavu wa kupambana na rushwa

    Wewe umeishatoa mpya,mnatusumbua nchi hii!!!wakati wa magamba umeisha
Back
Top Bottom